Kaunta Mbalimbali za M-pesa kama inavyoonekana asubuhii katika jengo la shirika la Posta la Mbeya ambapo mawakala tofauti tofauti wa M-Pesa wameunganishwa pamoja ambapo kila mmoja ana kaunta yake, sasa burudani ni pale mteja unapowasili- kila lugha ya kubembelezwa unaipata-- karibu baba karibu hapa , welcome , this is a favolable counter na kila maneno matamu! Ubunifu muhimu kwenye biashara