Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, baadhi ya wananchi wameamua kutafuta njia ya kufanana na maisha zya kifahari lakini kwa staili ya ndoto! kila mtu anapofanya shughuli kama hii angependa atumie mercedes Benz ama BMW nk lakini kwa mazingira ya vijijni yanatubana wakati mwingine tuna-imaginaze kama tupo kwenye maisha bora na matamu licha ya kutumia zana za asili!, Mkokoteni huu leo hii siyo wa mizigo ni usafiri wa heshima kumpeleka bi harusi na bwana harusi nyumbani |