Adverts

Jun 11, 2011

KAZI ZA WANAHABARI WAKATI MWINGINE MAJARIBU!

MDAU wa blog hii Paul Malimbo akiwa kwenye moja ya shughuli za kihabari nchini Rwanda wakati akishiriki uapishwaji wa Rais Paul Kagame akiwa mwandishi kutoka nchini Tanzania aliyepata fursa ya kuwakilisha wanahabari kwenye tukio hilo, hapa akaona ni vyema na haki kuweka kumbukumbu pamoja na vikosi vya ulinzi wa Mh huyo.