Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Jun 19, 2011
KIJIJI CHA MBUYUNI, NINAKUMBUKA MBAALI MNO
Kinanikumbusha wakati huo kulikuwa na mradi wa ujenzi wa mifereji ya umwaqgiliaji ukiitwa CUSO, aah maisha yalibadilika kijijini hapa na mambo mengi yalitokea ikiwa ni pamoja na maambukizi ya VVU na UKIMWI kuwa juu