Adverts

Jun 22, 2011

KILIMO CHA MBOGA MBOGA KISICHOHITAJI ENEO KUBWA

Ubunifu huu uliofanywa na wananchi wa wilaya ya NKASI katika kuotesha vitunguu na kabeji kwenye mfuko wa kisalfeti. Inaelezwa kuwa kilimo hiki huwasaidia wale wanaoishi kwenye nyumba za ghorofa kuendelea kupata mahitaji  ya mboga mboga pasipo kuwa na mashamba ya kuoteshea yanayohitaji eneo kubwa, ghorofani kwako unaweka mifuko mitatu kama hii nchi inakwenda tu!!!