Wadau wakieendelea kuchakata mpango wa namna bora ya kuhifadhi mazao baada ya mavuno na namna ya kutumia mfumo wa stakabadhi maghalani unaotekelezwa kwa mazao mawili ya Mpunga na mahindi katika wilaya za Mbeya, Mbozi na Kyela kuanzia mwezi January 2011 hadi January 2013. Mradi uznaztarajia kutumia zaidi ya dola za kimarekani 1.5 Milion kwa kipindi hicho cha miaka miztatu ambapo utawezesha ujenzi wa maghala 20 na kuwawezesha wakulima wadogo 20,000 katika mkoa wa Mbeya kuongeza thamani ya mazao yao kupitia program ya access to market kupitia mnyororo wa thamani
Mkurugenzi Mkazi wa TECHNOSERVE TANZANIA Bi Hillary Miller-Wise akielezea mpango wa SAPPHIRE katika mkoa wa Mbeya zna mtazamo wake katika harakati za kuwaondoa wananchi kwenye umaskini. |