Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akihutubia katika mkutano wa wadau mbali mbali wa shirika la CAMFEDTanzania, mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Akihitubia katika mkutano huo Mama Salma Kikwete alisema kuwa WAMA ipo tayari kushirikiana na wadau mbali mbali katika kumsaidia mwanamke kiuchumi. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa CAMFED Tanzania Msaada Daudi Balula. Shirika la CAMFED Tanzania limejikita katika kutoa huduma zake katika Wilaya kumi za Tanzania ambazoni ni Kibaha,Kilolo ,Iringa Vijijini,Rufiji, Bagamoyo,Morogoro Vijijini, Kilombero, Pangani na Handeni. |