| Baadhi ya wakurugenzi wa Idara kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti  ya  Utumishi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa ofisi hizo HAB  Mkwizu (hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa Habari kuhusu  maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika  ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika  viwanja vya mnazi mmoja  jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo. |