Enzi hizo nakumbuka sana nikiwa mdogo mdogo tuliambiwa tusilale karibu na ukuta, ikabidi tuhamishie vitanda katikati kulikuwa na tatizo fulani linalodaiwa kuwa lilitokea nyasaland watu walikuwa wanaamka wamechanjwa chale mwilini, basi tukawa tunaamini mzee huyu na vikosi vyake vya kamati za ufundi vinahusika