Miaka 50 ya Uhuru: Anaeleza kuwa Uzalendo umepungua sana na hii inatokana na kuwepo kwa pengo kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho, hali hii anaeleza kuwa ni hatari kwakuwa inaweza kumwingiza mtu kwenye matukio mabaya kwakuwa anajua hakuna anachopoteza! anashauri watumishi wa serikali warejee kwenye misingi, enzi zile mtumishi anajisikia faraja akimtatulia mwananchi shida yake lakini sasa mtumishi anajisikia kero kutatua shida ya mwananchi!!! |