Adverts

Jul 1, 2011

HAWA NAO WATAKUJA HAPO BUNGENI KUTANGAZWA KWA KUFAULU VIZURI SHULE ZA KATA!

Matumaini ni Makubwa wananchi hawa watarajiwa wataingia siku moja kwenye kapeti la Bunge la jamhuri kwenda kupokelewa na kutuzwa vyeti na zawadi kibao kwa kufaulu vyema mitihani yao kama ilivyokuwa leo pale Bungeni ambapo namimi nilikuwa  nje nikichungulia tu vijana wanavyopongezwa!