![]() |
Hapa ni Anglican cathedral |
![]() |
Msikiti Mkubwa uliopo Dodoma karibu na eneo la Chako ni chako, nimeukubali mandhari zake hasa masaa ya jioni |
![]() |
Ndege ikitua katika uwanja wa ndege wa Dodoma kama nilivyoinasa nikiwa katika harakati za kuelekea chuo cha mipango |
![]() |
Mnara uliopo karibu na ofisi za TAMISEMI wenyewe tunaita round about |