Maisha kweli yanabana hadi kwa viongozi wetu? Kiasi kwamba hata wakiwa hawako katika “mudi” ya kufanya kazi wanalazimika kwenda maofisini kwa ajili ya kukaba zile posho za kukaa kwenye vile viti vyao vya kuzunguka? Kumbe kuna waheshimiwa wetu ambao hulazimika kwenda kazini sababu ya posho? Mie nilikuwa sijui kwakweli, asante KP kwa kunifungua macho juu ya hili.
"