Adverts

Jul 9, 2011

MAULID KITENGE NA OMARY KATANGA WAKIWA MZIGONI NESHNO

WATANGAZAJI WA RADIO ONE STEREO MAULID KITENGE JEZI NO9 NA OMARY KATANGA MLINDA MLANGO WAKIWA WANATANGAZA HUKU WAKIWA WAMESIMAMA KUTOKANA NA PRESHA YA MECHI KATI YA YANGA NA RED SEAYA ERITREA KATIKA MCHEZO WA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KAGAME KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI. KATIKA PAMBNO HILO YANGA ILIFUZU KWA NUSU FAINALI BAADA YA KUIONDOA KWA MATUTA RED SEA. KITENGE KAIFAHAMISHA GLOBU YA JAMII SASA HIVI KWAMBA KESHO ATAKUWA NESHNO NA TIMU YAKE YOTE KUTANGAZA LIVE MECHI YA YANGA NA SIMBA chanzo. Michuzi blog
"