Adverts

Jul 8, 2011

SHUKRANI KWA WAKAZI WA MWANJELWA SIDO JANA TULIKUWA HAPO NA WALITUPOKEA VIZURI

Eneo la sido mwanjelwa tulienda jana jioni kuzungumza na wananchi,kutoa tickets,na tishts kiukweli tulipokelewa vyema sana.
Dada aliniambia anaitwa Jane.........
Bonge na wadau...
Tulikutana na mama hapa kiukweli alitupa moyo sana wa kufanya kazi...yaani unajua ni yule shabiki ambae anakupenda kutoka moyoni.Kitendo cha kutuona alifurahi sana mpaka akawa kama anataka kulia.
''Nikirudi nyumbani mwanangu atafurahi sana nikimwambia nimekuona...jamani mnatufurahisha sana,mungu awabariki sana wanangu''alisema.
Millard na mashabiki
Mimi kazini na kaka kazini....
Fiestaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Watu kibao...
Kina dada wa Mbeya full tabasamu!!!! HII NI KUTOKA KWA DINNA MARIOS BLOG
"