Adverts

Jul 6, 2011

waendesha pikipiki mkoani kagera waandamana kumtaka mwizi wao wa pikipiki anaeshikiliwa na jeshi la polisi

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoaji Kagera, Henry Salewi akiongea na waendesha pikipiki huku akiwataka watawanyike na wasijichulie sheria mkononi, waendesha pikipiki hao walichoma nyumba ya mtuhumiwa wa wizi wa pikipiki iliyoko eneo la Kibeta katika manispaa ya Bukoba.
waendesha pikipiki zinazofanya kazi ya kubeba abiria wakiwa wamefunga barabara karibu na jengo la mahakama kuu kanda ya Bukoba wakishinikiza kumuoana mkuu wa mkoa wa kagera Mohamed Babu ili aliamuru jeshi la polisi mkoani Kagera liwakabidhi mtuhumiwa wa wizi wa pikipiki.Picha na Audax Mutiganzi -
"