Adverts

Aug 21, 2011

BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA HIYOOO

Sura ya Upanuzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga  eneo la Chipaka kama inavyoonekana

Mitambo ikiwa kwenye hatua za ujenzi


Wafanyakazi na vibarua wakiwa kazini

Tabaka la mawe likiwekwa kwenye maeneo korofi