Adverts

Aug 7, 2011

KUTA KAMA HIZI NI HATARI KWA SISI WAREFU

Bwana Frank Kilas mtu anayeaminika kuwa mrefu kuliko wote katika ukoo wake akiwa amenasa kwenye moja ya mapaa ya nyumba zilizopo Njombe katika pita pita yetu ambapo urefu wa ukuta hadi kwenye paa ni mita moja na sentimeta 55!