Adverts

Aug 20, 2011

*MAMBO YA KAWE YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA IRINGA

mwendesha baiskeli wa kundi la wakali wa Morroco jijini Dar, Masoud Self, akionyesha umahiri wake wa kucheza na baiskeli kwa kuwaruka watu 8 kwa wakati mmoja waiwa wamelala chini ,mchezo huu ulifanyika katika stendi ya mkoa wa Iringa jana wakati wa Tamasha la Faidika. Mambo kama haya hufanyika kila siku ya jumapili katika Viwanja vya Tanganyika Parkers Kawe jijini Dar es Salaam, ikiwa sambamba na mchezo wa mashindano ya Pikipiki.
Vimbwanga vya waendesha Baiskeli vikiendelea katika Stendi ya Iringa.