Adverts

Aug 7, 2011

MAMBO YA SOSEJI BWANA NJOMBE MPO JUU!!!

Uroho wangu wa soseji bwana ulinitokea puani baada ya kukutana na soseji la kiti motoz!!!! nakwambia mbona nilitoka bila kuaga? eeeeeh ninini 

Kumbe zilikuwa mixed na za Ng\ombe lakini nikashindwa kuwa mvumilivu nikaishia kisa tu kit motoz mweeeeee