Adverts

Aug 7, 2011

NAWATAKIENI NANE NANE NJEMA WAKULIMA WOTE NCHINI TANZANIA

Mkurugenzi mwendeshaji wa Blog hii pamoja na Timu nzima wanawatakieni wakulima wote Nane Nane Njema na yenye mafanikio, huku mkitafakari zaidi Mafanikio na changamoto za Kilimo nchini na kuchukua hatua katika kuleta mabadiliko ya fikra na maamuzi ili kukifanya kilimo kuwa na tija tangu mlangoni kwako hadi mtaani