Adverts

Sep 4, 2011

AKINA MASELE ZIARANI JIJINI MBEYA

Wasanii wa kundi la Vituko Show ambao wako chini ya lebo ya Alriyami Production wakizungumza na mwandishi wa blog ya Mkwinda juu ya ziara yao jijini Mbeya. Wasanii hao akiwemo Chripin Masele, King Majuto, Onyango, Sharobaro, Efransya maarufu kwa jina la Inye gwedegwede, Man Bizo, Asha Boko,Mwita Maranya, wanatarajia kutoa kazi 40 ambapo hadi sasa wamekwisha andaa kazi 5 zikiwemo zile zinazoendelea kurushwa katika runinga ya Chanel Ten maarufu kama Vituko Show,(Stori  na Picha kwa hisani ya Rashid Mkwinda)