Adverts

Sep 4, 2011

Majaaliwa ya watoto hawa yakoje

Hiki ndicho choo wanachotumia wanafunzi  wa shule ya msingi Mpakani iliyopo mjini Tunduma majaaliwa yao yakoje? wanasoma wakiwa wameketi sakafuni, Tunduma ni moja ya miji maarufu nchini kwa biashara kati ya Tanzania na nchi zilizopo kusini mwa Afrika, ni mji wenye msongamano mkubwa wa biashara.
Huenda watoto hawa ni wa wafanyabiashara wanasoma kwa kuketi chini,wanaweza kuwa wazazi wao ndio wamiliki wa maduka yanayozunguka katika mji maarufu wa Tunduma, wametelekezwa?serikali iko wapi mbona imewatelekeza watoto hawa? wanahitaji elimu bora(Picha kwa hisani mwanablog Rashid Mkwinda wa www.mkwinda.blogspot.com)