Adverts

Sep 19, 2011

MGOMBEA WA IGUNGA KUPITIA CCM DK KAFUMU DALALY AFUNIKA MWISI

MGOMBEA ubunge jimbo la Ugunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni leo katika Kata ya Mwisi jimboni Igunga, Uchaguzi wa jimbo hilo unafuatia kujiuzuru kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Aziz. (Picha na Bashir Nkoromo)