Pichani Juu na Chini ni Mshindi wa kwanza kabisa wa shindano la BONGO STAR SEARCH Jumanne Iddi akitoa burudani katika fainali za shindano la BONGO STAR SEARCH SECOND CHANCE 2011 liliofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
MC Godwin Gondwe akiwajibika.
Mshiriki Waziri Salumu akitoa burudani wakati wakiwania nafasi katika fainali za shindano la BSS Second Chance 2011.
Meza Kuu ya Majaji wa Shindano hilo. Kutoka kushoto ni Master J, Chief JudgeMadam Ritha Paulsen, pamoja na Salama J..
Mshiriki wa BSS Second Chance Rodger Lucas akionyesha cheche zake.
Bella akiimba kwa hisia.
Mshiriki Haji Ramadhani akiwania nafasi ya ubingwa wa BSS Second Chance.
Peter Msechu palikuwa hapatoshi.
Pichani ni Msanii wa Hip Hop kutoka nchini Uganda Navio akichana mistari.
Gwiji kutoka Kigali Rwanda Alpha akiwakilisha vilivyo.
Mshindi wa Shindano la BSS 2010 Mariam Mohamed akionyesha siri ya Ushindi.
Na na na nanini……….Si mwingine ni yule yule Bob Junior.
Nani kasema vichaa wako Tanzania Pekeee…??? Ni Msanii Joseph Payne akionyesha matumizi sahihi ya Microphone.
Mashabiki wa Joseph Payne wakishangilia.
Hapa hakibaki kitu…!!!
Top 4 ya BSS SECOND CHANCE 2011.
Warembo Jukwaani wakionyesha “ Briefcase ” zenye fedha za watakaoshinda.
Pichani Juu na Chini ni Msanii Mr. Flavour kutoka nchini Nigeria akikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria fainali za BSS 2011.
Nwa baby baby teli Semi……. Looking for Sexy sexy… Waka waka Baby….Kulu kulu Baby….Am Gonna Tell my papa……popo poronto…..Akulaba akaluba……!!!!
Viti vilikuwa na miba.
Aliyekuwa Vodacom Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala naye hakubaki nyuma.
Saba Saba sabaleeeeeee…………. Ashawo Awisha……. NWA BABY….!!!
Lulu akionyesha mapozi mbele ya camera ya MO BLOG.
Asssssssssssh…!!!
Meneja Mtendaji wa PSI Ronamata Mtung’e akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 5 kwa mshindi wa tatu wa BSS Second Chance 2011Waziri Salum.
Mwakilishi wa TBL James Bokelo akikabidhi mshindi wa pili Rodger Lucas zawadi ya shilingi Milioni 10.
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee…!!!
Mshindi wa BSS Second Chance 2011 Haji Ramadhani akikumbatiwa na mmoja wa wanenguaji wa TWANGA PEPETA baada ya kutangazwa mshindi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bench Mark Production ambao ndio waandaaji wa BSS Second Chance 2011 Madam Ritha Paulsen (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shindano hilo Haji Ramadhani Briefcase yenye fedha taslimu Milioni 40. Anayeshuhudia ni i Afisa wa Huduma za Ziada wa Tigo, Pamela Shelukindo.
Picha ya pamoja na mshindi.
Umati wa mashabiki wa BSS 2011.
Kwenye moja na mbili aliyekuwa anasabisha na mtu mzima DJ Choka (kushoto) sambamba na mdau Andrew Chale.
Picha zote kwa hisani ya Mo Blog