|  | 
| Hizi ni ofisi za chama cha wandishi wa Habari mkoani Mbeya ambapo mkuu wa mkoa ametembelea hivi majuzi! | 
|  | 
| Meya wa Jiji la Mbeya Mstahiki Athanas Kapunga akizungumza neno kwenye ofisi za chama cha wandishi wa habari mkoa Mbeya | 
|  | 
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akiwa amepozi na viongozi wa klabu ya wandishi wa habari Mkoani Mbeya | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Klabu ya wandishi wa habari Mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akizungumza jambo mbele ya mgeni wao. | 
|  | 
| Mkuu wa mkoa Kandoro akisaini kitabu cha wageni | 
 

