Adverts

Oct 17, 2011

video: Mjadala "Nishati na Tanzania tunayoitaka" washiriki Zitto Kabwe, January Makamba et al

video: Mjadala "Nishati na Tanzania tunayoitaka" washiriki Zitto Kabwe, January Makamba et al:

Mjadala kuhusu nishati na Tanzania tunayoitaka ulichangiwa mawazo na January Makamba, Eliakim Maswi, Zitto Kabwe na wengineo, ambapo walijadili kuhusu tatizo la nishati ya umeme pamoja na changamoto tulizokwishapitia Tanzania. Kisha yalitolewa mapendekezo chanya na mwongozo kwa siku za mbeleni. credits: Video zimerekodiwa na... This is a summary only! Click on the title for the whole post.