Mkuu wa mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara wa Tunduma baada ya tukio la ajali ya Moto leo jioni ambapo amewapa pole kutokana na maafa hayo. |
Watu wakiokota mabaki ya vitu vilivyoungua kwenye maduka ya eneo la TUNDUMA maarufu kama Mansese |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro akitembelea eneo ambako moto umetekeza maduka katika mji wa Tunduma |
Moto ukiendelea kuwaka kutokana na ajali iliyotokea jana jioni na kusababisha hasara ya mabilion ya fedha katika mji wa Tunduma wilayani Mbozi |