Adverts

Nov 12, 2011

LIVE! Kikao kimesha anza maelfu wafurika

Mkuu wa Wilaya Kushoto wakiwa na Muheshimiwa Joseph Mbilinyi
Kikao Kimeanza sasa watu ni wengi sana Mh. Joseph Mbilinyi anahutubia sasa..
Wanainchi wakiwapokea viongozi kwa Shangwe
Picha na Stanslaus yupo kwa tukio sasa endelea kufuatilia