Adverts

Nov 20, 2011

Liverpool Waibamiza Timu ya Chelsea Bao 2-1

CHELSEA KWINSHNEI KWA LIVERPOOL
Max power: Liverpool's Maxi celebrates after scoring the opening goal
Mchezaji wa Liverpool Maxi Rodriguez akishangilia bao lake la kwanza dakika ya 34 kipindi cha kwanza dhidi ya Chelsea mapema leo hii ndani ya Stamford Bridge
Dan's the man: Daniel Sturridge equalises for Chelsea against Liverpool,
Dakika ya 55 kipindi cha cha pili Daniel Sturridge alisawazisha bao hilo na kuipanguvu timu yake ya Chelsea.
Mechi hiyoo iliendelea kwa mashambulizi ya hapa na pale wakati timu ya Liverpool ulipocheza mpira wa utulivu na wa uhakika dhidi ya timu hiyo ya chalsea ambao iliokuwa inalishambulia lango la timu ya Liverpool bila chini ya mchezaji wao hatari Didier Drogba ambae alicheza bila ya mafanikio yakuona lango la timu hiyo.
Timu ya Chelsea hakufanya ajizi mbele ya lango la timu ya Chealsea katika dakika ya 85 full back wa Liverpool Glen Johnson alifanikiwa kufunga bao la pili ambalo liliwakatisha tamaa na kuwaacha wachezaji pamoja na wapenzi wa timu hiyo hoi bin taabani.
Mpaka tonatoka mitamboni Liverpool ya toka mikono juu kwa kuibamiza Chelsea bao 2-1
In a tangle: Didier Drogba is brought down by Liverpool's Daniel Agger and Lucas
Kiza zaa cha kung'ang'ania mpira katika mechi hiyo mchezaji wa Chealsea Didier Drogba akizongwa na wachezaji wa Liverpool's Daniel Agger na Lucas na hinvyo ndivyo Livepool walivyo mkaba mchezaji huyo na kutoka bila ya mafanikio.