Adverts

Nov 20, 2011

MKURUGENZI WA VODACOM KANDA YA KUSINI AVISHWA NGUO ZA KIHEHE ZA HESHIMA

Wazee wa kabila la Kihehe, Kata ya Kalenga mkoani Iringa, wakimpa heshima ya kichifu Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga (katikati) kwa kumkabidhi mkuki baada ya kumvisha vazi la mgorole ikiwa ni heshima kubwa kwa mkoa huo wakati walipofika kukabidhiwa madarasa mawili yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 29 katika Shule ya Sekondari ya Lipuri mkoani humo. (NA MPIGAPICHA WETU)