Mkuu wa shule ya sekondari ya Wazazi Meta Renatus Njegite akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika shule yake leo asubuhi.
Waziri Mkuu akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Wazazi META
Waziri Mkuu Pinda akizinfua jengo la Maabara ya Kemia katika shule ya sekondari ya Wazazi meta leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akimsikiliza mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya META katika maabara ya Kemia leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akipata maelekezo kutoka kwa wanafunzi wa sekondari ya META katika chumba cha maabara ya Kemia.
Waziri Pinda akisalimiana na wananchi alipowasili uwanja wa ndege Jijini MBEYA hapa akisalimiana na Bwana Charles Mwakipesile Mwandishi wa habari jijini Mbeya
Kwa hisani ya Mkwinda Blog