| Raia wema wakivukishwa barabara eneo la mapambano maeneo ya kabwe |
| Moja ya gari lililopasuliwa kioo na baruti |
| Wamachinga wakishangilia baada ya kuwazidi polisi nguvu |
| Nivurugu tupu maeneo ya soweto jijini mbeya |
| Wamachinga wakichochea moto wa matairi katikati ya barabara ya mbeya na tunduma |