Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Nov 28, 2011
TASWIRA ZA JIJI LA ADDIS ABABA ETHIOPIA PATA BURUDANI
Mdau Sidi akiwa Addis Ababa, Ethiopia, katika Chuo cha Kijamii cha Red Cross kwenye kozi ya maandalizi ya Fredskopset Norway Exchange Programme kwa wiki mbili ametumuvuzishia matukio (Taswira)kadhaa za matukio yanayojiri karibu kila siku katika jiji la Addis Ababa, Hii ni program ambayo ni mahususi kwa kubadilishana waandishi wa habari za Mazingira yote ikiwa ni katika kubadilishana mawazo na ujuzi wa kazi.
Hapo ni Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia
Eneo la ndani la Jumba la makumbusho hilo la Entoto
Wana Addis wakiwa katika biashara mbali mbali ndogondogo hapa
Nikiwa nje ya Jumba la Makumbusho la Ethiopia
Matunda ndani ya Soko kuu la Addis Ababa, Maarufu kwa jina Marketo
Sanamu ya Simba wa Yuda mjini Ethiopia
Chuo Kikuu cha Addis Ababa University
Kutoka Full shangwe