![]() |
Karibu Kona ya Mangoma"It's all about East African Flava"
Habari zenu wadau wote... Tunapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee kabisa kuwakaribisha katika Libeneke jipya kabisa la KONA YA MANGOMA Ambapo
mtapata kutazama video mpya na nyenginezo nyingi kutoka pande zote
Afrika Mashariki yani Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi..Pia
tunaomba wasanii wote ambao mnatoa Video mtutumie link kupitia barua
pepe hii (konayamangoma@live.com) ili tuweze wape sapoti ya juu, Kwa
pamoja tunaendeleza Muziki wa Afrika. Tunatanguliza Shukrani zetu za
dhati kwenu. Ukiona link hii mpe na mwenzako.
Jina la Blog: Kona ya Mangoma
Link www.konayamangoma.blogspot.com
Link www.konayamangoma.blogspot.com