Adverts

Dec 28, 2011

Kiota kipya kabisa Jijini Mbeya cha Maraha Hill View Hotel

Hivi ndivyo majengo ya Hotel hii yanavyo onekana ikiwa ni sehemu za Kupumikia kupata chakula na mambo mbali mbali, Fika bila kukosa mala utuapo Jijini Mbeya
Hii ni sehemu ya nyuma ya Hotel ambapo unaweza kupumzika na Ndugu jamaa na Marafiki
Hili ni eneo la mbele kabisa ambapo kuna upepo manana na watu hupenda kupumzika hapo kupata vinywaji na Chakula Baadhi ya wadau ambao walifika kutembelea na kula Maraha Hotel hiyo
Hivi ni Baadhi ya vya kula vyenye ubora wa Kimataifa ambavyo havipikwi eneo lolote lakini Hill View Hotel
*************
Hill View Hotel ni Hotel yenye hadhi ya Kimataifa inayo patikana Jijini Mbeya Maeneo ya Uzunguni. Hotel hii inakila kitu ikiwa ni sehemu ya Kupata chakula kizurri, kulala na mambo mengine mengi, Usikose kufika hapa ukija Mkoa wa Mbeya CHANZOMBEYA YETU