Adverts

Dec 5, 2011

KWA KUCHELEWESHA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE TUMETHUBUTU?

Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Mh Victor Mwambalaswa na  Mh Godfrey Zambi wa Mbozi Mashariki walimuuliza Mh waziri Nundu kuhusu lini huu uwanja wa Songwe utakamilika nae akasema kwa uhakika ungekamilika na kuanza kutumika  Decemba 2011.
Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012
Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa.

KUTOKA JAMII FORUMS