Adverts

Dec 22, 2011

MAFURIKO YA DSM YALETA UHABA WA MAFUTA YA MAGARI MBEYA

BP Mbeya mjini ndiyo kituo chenye mafuta jijini hali hii ya kukosekana kwa mafuta Imedaiwa na wamiliki wa vituo hivyo vya mafuta kuwa imesababishwa na mafuriko yanayoendelea jijini DSM hivyo kukwama kwa magari ya kubeba mafuta hayo na kuyaleta mikoani
Kila gari linapata mgao wa lita kumi tu ili angalau wengi wapate mafuta hayo