Adverts

Dec 11, 2011

Mapaparazi wanne kati ya 15 ndiyo waliofanikiwa kufikia kilele cha Mlima K'njaro

Kundi la vijana waliofika kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro wakisherehekea miaka 50 ya uhuru juu ya kilele cha mlima huo juzi, Msafara huo uliandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania na Kampuni ya Utalii ya Zara Tours.