![]() |
Mh John Momose Cheyo akisaini kitabu katika ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kulia kwake ni Balozi wa nchi hiyo Mh Kalaghe |
![]() | ||
Mh John Cheyo Momose a.k.a Mapesa akisalimiana na Baraka Baraka wa Urban PALSE baada ya mahojiano katika ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza |
![]() |
Frank kushoto, Cheyo katikati na Mh Balozi Kallaghe kulia wakibadilishana mawili matatu |
![]() | |||
Balozi Kallaghe akiwa kwenye pozi na Mh John Momose Cheyo baada ya kufika ubalozini hapo | Pichazote na urban palse |