Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) wakisaini hati ya msaada makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) leo.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO