Bi. Sada, mama wa watoto saba aliehojiwa na kipindi cha Mimi na Tanzania amejifungua mtoto wa kiume salama na Anahitaji msaada wa haraka ili kumlea mtoto huyu.Bi Saada Anapatikana kwenye simu namba 0765 640002. Misaada anayaohitaji ni Nguo za mtoto, kitanda , chakula cha mzazi na chochote kile kinahitajika mapema sana,Msaidie sasa ili aweze kuondokana na tatizo hilo..