Adverts

Jan 3, 2012

Gari la JWTZ Lapata Ajali Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja.

Wananchi wakiliagalia Gari la JWTZ lilopata ajali kati barabara ya Fuoni
Wananchi wakitowa msaada kwa Wanajeshi waliopata ajali katika barabara ya Fuoni, gari yao kupinduka baada ya kumkwepa mpanda baskeli, kwa mujibu wa habari za wasamaria walioshuhudia ajali hiyo, na kusababisha gari hiyo kupinduka
Wananchi wakiwapandisha katika gari majeruhi wa ajili ya Gari la JWTZ,iliotokea maeneo ya Fuoni, kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo inasemekana gari hiyo imewakwepa wapanda baskeli na kusababisha ajili hiyo.katika ajali hiyo Askari mmoja mefariki. na majeruhi kulazwa hospitalini.
Wananchi wakitowa msaada kumsaidia mmoja wa Askari wa JWTZ,aliyepata majeraha katika ajali hiyo iliotokea katika maeneo ya Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Mdau Othman Mapara-Zanzibar