Adverts

Jan 24, 2012

HII HAIKUBALIKI!! NI UDHARIRISHAJI

Mwanamme anampomfumania mkewe na kumtembeza hadharani hivi mbele ya vyombo vya usalama wa raia na vikaendelea kuchekelea hali hii ni nini?