Mti huu ndio wenye historia ya pekee kwa wananchi wa Kabila la Waikizu, ukiwa umepandwa karne iliyopita, mahali ambapo Chifu wa Ikizu Mohamed Makongoro alitumia kwa ajili ya mikutano ya wazi, Unalindwa sana na Waikizu, ukikata tawi lake faini yake ni Ng'ombe, lakini siku ukianguka eneo hili litakuwaje?.
kutoka kwa Nyakasagani blog