Maisha yetu ni ya kijamaa, tunapenda kushirikiana,tunafurahi pamoja,tunajenga mshikamano, haliharibiki neno tuwapo wengi pamoja, tunamahala pakubadilishania mawazo, niseme nini juu ya kwetu,kwetu pazuriiii lalalalalaaaaa naipenda makete, kwetu pazuriiiii!!, Mvua inayopatikana huko ni mwafaka kwa uzalishaji, na uoateshaji wa miti, ni wilaya yenye historia ya misitu ya asili na ile ya kupandwa, ndiko asili ya mbao Tanzania, niseme nini Makete naipendaaaaa!!! | |