MAVAZI YA UTANDAWAZI NA ATHARI ZAKE.................................
MWANADADA aliyevaa kaptula fupi akiwa anaokolewa na wasamalia wema katika eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya baada ya wananchi kumzomea huku wengine wakithubutu kutaka kumpiga wakipinga vazi hilo ambalo mabinti wengi wanaamini kuwa ni vazi la kisasa...........
kutoka Tanzania yetu