Adverts

Jan 9, 2012

Msanii Nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya Diamond na Wenzake Wahukumiwa Kwenda Jela Miezi 6

Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini leo hiii asubuhi muda mfupi kabla ya kuhumiwa kwenda jela miezi 6
Mdhamini wa msanii DIamond Edo Bashir Kushoto akizungumza na Francis Godwin ambaye ndie mlalamikaji katika kesi hiyo
--
Yametimia MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia Bw.Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin. Watuhumiwa wamelipa faini japo Bw.Francis Godwin hajapokea fedha hiyo na kukusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi imeandikwa na Misanjo Liviga Mlalahoi.