Adverts

Jan 14, 2012

RC ISHENGOMA AVUNJA MWIKO WA VIONGOZI KUOGOPA ZIARA MASIKA WILAYA YA LUDEWA

Gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala likishindwa kupita katika barabara ya Milo kutokana na barabara hiyo kuharibika kwa mvua ,gari hilo na lile ya CCM ambalo yalishindwa kuvuka eneo hilo la Mlima wa Kigasi na hivyo kurudi Mlangali Msafara wa mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christina Ishengoma ukiwa umekwama kwa muda mlima wa Kigasi Milo Ludewa huku mvua kubwa ikinyesha jana Askari polisi wa wilaya ya Ludewa akinyeshewa na mvua wakati akishughulikia njia ya kupita msafara wa mkuu wa mkoa wa Iringa na mbunge wa jimbo la Ludewa ambao walikuwa wakielekea katika ziara ya kikazi zaidi Dereva wa gari la mkuu wa Mkoa wa Iringa kulia na dereva wa gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa kushoto wakijadiliana jinsi ya kupitisha msafara huo katika eneo la mlima Kigasi ambalo lilichafuka kupita kiasi jana