Adverts

Jan 19, 2012

SAFARI YA MWISHO YA MH.REGIA-2: MAZISHI

Mh Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwa ameketi wakati wa ibada ya maziko(jana) katika makaburi alikozikwa Mh.Regia Mtema.Katikati ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Nd.Joel Bendera na kushoto ni Mh.Freeman Mbowe
Dk.Wilibrod Slaa akiwa makaburini kwa maziko
Baba askofu Mhashamu Agapiti Ndorobo Wa jimbo katoliki la ulanga mahenge akiendesha ibada ya makaburini
Nd.Estelatus Mtema baba wa Regia akiweka shada la maua kaburini
Mama yake Regia pia akiweka shada la maua
Mh.Rais akiweka shada la maua
Dk.Slaa akiweka maua
John Heche Mwenyekiti BAVICHA akiweka maua
KUTOKA MJENGWA BLOG